Job 10:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti nisingezaliwa, au kama ningepelekwa kaburini moja kwa moja kutoka tumboni!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningalikuwa kama mtu asiyekuwapo; Ningalichukuliwa kaburini kutoka tumboni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti nisingekuwako kamwe, au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja kutoka tumboni kwenda kaburini!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti nisingekuwako kamwe, au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja kutoka tumboni kwenda kaburini!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningalikuwa kama mtu asiyekuwapo; Ningalichukuliwa kaburini kutoka tumboni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningepelekwa moja kwa moja kaburini, nikawa kama mtu asiyepata kuwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ningalikuwa kama mtu asiyepata kuwapo, ningalipelekwa kaburini hapo, nilipotoka tumboni mwa mama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningalikuwa kama mtu asiyekuwapo; Ningalichukuliwa kaburini kutoka tumboni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ningepelekwa katika kaburi, na kuwa kama mutu asiyekuwa.