Job 10:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu. Nijulishe kisa cha kupingana nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamwambia Mungu, Usinihukumie makosa; Nionyeshe sababu ya wewe kushindana nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu. Nijulishe kisa cha kupingana nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamwambia Mungu, Usinihukumie makosa; Nijulishe kwa nini unapingana nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu. Nijulishe kisa cha kupingana nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamwambia Mungu: Usiniwazie kuwa mwovu! Ila nijulishe sababu za kunigombeza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamwambia Mungu, Usinihukumie makosa; Nionyeshe sababu ya wewe kushindana nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamwambia Mungu: Usinitendee sawa na mwenye makosa. Unijulishe sababu ya kugombana nami.