Job 10:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, siku zangu chache si zimekaribia kwisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate ngaa kutuzwa moyo kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate angaa kutulizwa moyo kidogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, siku za maisha yangu si chache? Niachie nipate faraja kidogo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zangu zilizosalia si chache tu? Kwa hiyo na akome, na aniache, nipate kuchangamka kidogo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate ngaa kutuzwa moyo kidogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku za maisha yangu si chache? Uniachilie nipate kufurahi kidogo,