Job 10:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nchi ya huzuni na fujo, ambako mwanga wake ni kama giza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nchi ya giza nene sana, yenye uvuli wa giza na machafuko, ambapo hata nuru ni giza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nchi ya giza kuu, kama giza lenyewe lilivyo; Ni nchi ya giza tupu, isiyo na matengezo ya mambo yo yote, Nchi ambayo nuru yake ni kama giza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nchi ya huzuni na fujo, ambako mwanga wake ni kama giza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nchi ya giza kuu sana, yenye uvuli wa giza na machafuko, mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nchi ya giza kuu sana, yenye uvuli wa giza na machafuko, mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nchi ya giza kuu, kama giza lenyewe lilivyo; Ni nchi ya giza tupu, isiyo na mpango wowote wa mambo, Nchi ambayo nuru yake ni kama giza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nchi ya huzuni na fujo, ambako mwanga wake ni kama giza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni nchi yenye giza jeusi kama usiku wa manane, ni nchi ikaayo kivuli kiuacho, tena ni nchi ikosayo matengenezo yo yote, nayo ikiangazika huwa vilevile kama usiku wa manane. Sofari na Nama akajibu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nchi ya giza kuu, kama giza lenyewe lilivyo; Ni nchi ya giza tupu, isiyo na matengezo ya mambo yo yote, Nchi ambayo nuru yake ni kama giza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inchi ya huzuni na fujo, ambako mwangaza wake ni kama giza.