Job 10:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, ni sawa kwako kunionea, kuidharau kazi ya mikono yako na kuipendelea mipango ya waovu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, inakupendeza wewe kunidhulumu, kuikataa kazi ya mikono yako, huku ukiunga mkono mipango ya waovu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuyaangazia mashauri ya waovu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, ni sawa kwako kunionea, kuidharau kazi ya mikono yako na kuipendelea mipango ya waovu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, inakupendeza wewe kunionea, kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, inakupendeza wewe kunionea, kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuiunga mkono mipango ya waovu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, ni sawa kwako kunionea, kuidharau kazi ya mikono yako na kuipendelea mipango ya waovu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Kwako ni vema, ukimkorofisha mtu? Kiumbe, mikono yako ilichokisumbukia, ukatitupa, uyaangaze mashauri yao wasiokucha?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuyaangazia mashauri ya waovu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni sawa kwako kunionea, kuzarau kazi ya mikono yako na kupendelea mipango ya waovu?