Job 10:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ukauliza-uliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ukaulizauliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani unaninyatia, uone manza, nilizozikora, ukayatafuta makosa yangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ukauliza-uliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini unachunguza uovu wangu na kuitafuta zambi yangu?