Job 10:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wajua kwamba mimi sina hatia, na hakuna wa kuniokoa mikononi mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa unajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujapojua ya kuwa mimi si mwovu; Wala hapana awezaye kuokoa na mkono wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wajua kwamba mimi sina hatia, na hakuna wa kuniokoa mikononi mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa wajua kuwa mimi sina hatia na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ujapojua ya kuwa mimi si mwovu; Wala hapana awezaye kuokoa kutoka katika mkono wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wajua kwamba mimi sina hatia, na hakuna wa kuniokoa mikononi mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena unanijua kuwa mtu asiyeacha kukucha, ya kuwa hakuna atakayeniponya mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujapojua ya kuwa mimi si mwovu; Wala hapana awezaye kuokoa na mkono wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajua kwamba mimi sina kosa, na hakuna wa kuniokoa toka katika mikono yako.