Job 11:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama Mungu akipita, akamfunga mtu na kumhukumu, nani awezaye kumzuia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye akipita, na kufunga watu, Na kuwaita hukumuni, ni nani basi awezaye kumzuia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama Mungu akipita, akamfunga mtu na kumhukumu, nani awezaye kumzuia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama akija na kukufunga gerezani na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye akipita, na kufunga watu, Na kuwaita hukumuni, ni nani basi awezaye kumzuia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama Mungu akipita, akamfunga mtu na kumhukumu, nani awezaye kumzuia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye akitokea na kupita, afunge watu, yuko nani awezaye kumrudisha nyuma, aliyempeleka shaurini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye akipita, na kufunga watu, Na kuwaita hukumuni, ni nani basi awezaye kumzuia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama Mungu akipita, akimufunga mutu na kumuhukumu, nani anayeweza kumuzuia?