Job 11:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda-mwitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda mwitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo naye mwenye kichwa kikosacho akili sharti aerevuke, kwani mtu huwa kama mwana wa punda wa nyikani siku akizaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda-mwitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupumbafu hawezi kuwa na maarifa. Punda wa pori ni punda wa pori tu.