Job 11:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa utasahau mashaka yako; Utayakumbuka kama maji yaliyokwisha pita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa utasahau mateso yako; Utayakumbuka kama maji yaliyokwisha pita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wewe utakapoyasahau nayo masumbuko, yatakuwa kama maji yaliyokupwa hapo, utakapoyakumbuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa utasahau mashaka yako; Utayakumbuka kama maji yaliyokwisha pita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.