Job 11:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maisha yako yatang’aa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Lijapokuwa ni giza, litakuwa kama alfajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maisha yako yatang'aa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mng'ao wa pambazuko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maisha yako yatang'aa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maisha yako yatang’aa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Giza lake litakuwa kama alfajiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapotokewa na siku ziangazazo kuliko jua la mchana, napo palipokuwa na giza patakuwa kama mapambazuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Lijapokuwa ni giza, litakuwa kama alfajiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maisha yako yataangaa kuliko jua la muchana kati, giza lake litabadilika kuwa mapambazuko.