Job 11:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama pande zote na kupumzika kwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakuwa salama, kwa sababu kuna matumaini; Naam, utatafuta-tafuta kando yako, na kupumzika katika salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama kukuzunguka pande zote na kupumzika kwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama pande zote na kupumzika kwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakuwa salama, kwa sababu kuna matumaini; Naam, utatafutatafuta kando yako, na kupumzika salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa na kingojeo utapata cha kukijetea, utakapochungulia nyumbani mwako utalala na kutulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakuwa salama, kwa sababu kuna matumaini; Naam, utatafuta-tafuta kando yako, na kupumzika katika salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakuwa na uhakika maana kuna tumaini; utalindwa na kupumzika salama.