Job 11:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utalala bila kuogopeshwa na mtu; watu wengi watakuomba msaada.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, naam, wengi watajipendekeza kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena utalala, wala hapana atakayekutia hofu; Naam, wengi watakutafuta uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utalala bila kuogopeshwa na mtu; watu wengi watakuomba msaada.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, naam, wengi watajipendekeza kwako ili kupata fadhili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, naam, wengi watajipendekeza kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena utalala, wala hapana atakayekutia hofu; Naam, wengi watakutafuta uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utalala bila kuogopeshwa na mtu; watu wengi watakuomba msaada.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hatakuwako atakayekustusha hapo, utakapolala, nao wengi watajipendekeza usoni kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena utalala, wala hapana atakayekutia hofu; Naam, wengi watakutafuta uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utalala bila kuogopeshwa na mutu; watu wengi watakuomba musaada.