Job 11:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angekueleza siri za hekima, maana yeye ni mwingi wa maarifa. Jua kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akuonyeshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angekueleza siri za hekima, maana yeye ni mwingi wa maarifa. Jua kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akuonyeshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angekueleza siri za hekima, maana yeye ni mwingi wa maarifa. Jua kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakufunulia navyo vilindi vya ujuzi wa kweli vilivyofichwa, kwani mizungu iliyomo hufaa mara mbili; ndipo, utakapojua, ya kuwa Mungu amekuondolea manza, ulizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akuonyeshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angekuelezea siri za hekima, maana yeye yuko na maarifa mengi. Ujue kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.