Job 11:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, unaweza kugundua siri zake Mungu na kujua ukomo wake yeye Mungu mwenye nguvu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, unaweza kujua siri za Mungu? Je, unaweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, unaweza kugundua siri zake Mungu na kujua ukomo wake yeye Mungu mwenye nguvu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikia upeo wa huyo Mwenyezi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, unaweza kugundua siri zake Mungu na kujua ukomo wake yeye Mungu mwenye nguvu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Waweza kuuvumbua mwanzo wake Mungu usiochunguzika? Au waweza kuyapambazua yake Mwenyezi yatakayokuwa ya mwisho?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kuvumbua siri za Mungu na kujua ukomo wa Mungu Mwenye Uwezo?