Job 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukuu wake wapita mbingu, wewe waweza nini? Kimo chake chapita Kuzimu, wewe waweza kujua nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni juu mno kuliko mbingu: unaweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko Kuzimu: wewe unaweza kujua nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukuu wake wapita mbingu, wewe waweza nini? Kimo chake chapita Kuzimu, wewe waweza kujua nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukuu wake wapita mbingu, wewe waweza nini? Kimo chake chapita Kuzimu, wewe waweza kujua nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakiwa juu mbinguni, utafanyaje? Yakiwa chini ndani kupita kuzimuni, utajuaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukubwa wake unapita mbingu; wewe unaweza nini? Kimo chake kinapita kuzimu; wewe unaweza kujua nini?