Job 12:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hekima na uwezo ni vyake Mungu, yeye ana maarifa na ujuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hekima na nguvu ni vya Mungu; shauri na ufahamu ni vyake yeye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hekima na amri zina yeye [Mungu]; Yeye anayo mashauri na fahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hekima na uwezo ni vyake Mungu, yeye ana maarifa na ujuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hekima na nguvu ni vya Mungu, shauri na ufahamu ni vyake yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hekima na nguvu ni vya Mungu; shauri na ufahamu ni vyake yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hekima na amri zina yeye [Mungu]; Yeye anayo ushauri na fahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hekima na uwezo ni vyake Mungu, yeye ana maarifa na ujuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Werevu wa kweli na uwezo uko kwake Mungu, tena wongozi na utambuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hekima na amri zina yeye [Mungu]; Yeye anayo mashauri na fahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hekima na uwezo ni vya Mungu. Yeye ana maarifa na ujuzi.