Job 12:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwavua wafalme vilemba vyao; na kuwafunga viunoni kamba za wafungwa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye hulegeza kifungo cha wafalme, Na kuwafunga viuno vyao kwa mshipi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwavua wafalme vilemba vyao; na kuwafunga viunoni kamba za wafungwa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme na kuwafunga mishipi ya kiunoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye hulegeza kifungo cha wafalme, Na kuwafunga viuno vyao kwa mshipi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwavua wafalme vilemba vyao; na kuwafunga viunoni kamba za wafungwa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafungo ya wafalme huyafungua, tena huwafunga wenyewe kwa kamba viunoni pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye hulegeza kifungo cha wafalme, Na kuwafunga viuno vyao kwa mshipi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anavua wafalme mikaba yao, na kuwafunga kamba za wafungwa katika viuno.