Job 12:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwaacha makuhani waende uchi; na kuwaangusha wenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huwaondoa makuhani hali wametekwa nyara. Na kuwapindua mashujaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwaacha makuhani waende uchi; na kuwaangusha wenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huwaondoa makuhani wakiwa wamevuliwa nguo. Na kuwapindua mashujaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwaacha makuhani waende uchi; na kuwaangusha wenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watambikaji huwapeleka kuwa mateka, nao wenye nguvu huwaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huwaondoa makuhani hali wametekwa nyara. Na kuwapindua mashujaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaacha makuhani watembee uchi; na kuwaangusha wenye nguvu.