Job 12:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwanyanganya washauri kipawa chao cha kuongea, huwapokonya wazee hekima yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huondoa matamko ya hao walioaminiwa, Na kuondoa fahamu za wazee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwanyang'anya washauri kipawa chao cha kuongea, huwapokonya wazee hekima yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika na kuondoa busara ya wazee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huondoa usemi wa hao walioaminiwa, Na kuondoa fahamu za wazee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwanyanganya washauri kipawa chao cha kuongea, huwapokonya wazee hekima yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliotegemewa kuwa mafundi wa kusema huwasemesha kibubu, nazo akili zao wazee huzipumbazisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huondoa matamko ya hao walioaminiwa, Na kuondoa fahamu za wazee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananyanganya washauri zawadi yao ya kusema, anaondolea wazee ufahamu wao.