Job 12:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huvifunua vilindi vya giza, na kuleta mwangani yaliyokuwa gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huvumbua mambo ya siri tokea gizani, Na hicho kilicho giza tupu huleta mwangani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huvifunua vilindi vya giza, na kuleta mwangani yaliyokuwa gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufunua mambo ya ndani ya gizani na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huvumbua mambo ya siri tokea gizani, Na hicho kilicho giza tupu huleta mwangani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huvifunua vilindi vya giza, na kuleta mwangani yaliyokuwa gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huvumbua yaliyofichwa ndani ya nchi na kuyatoa gizani, nacho kivuli kiuacho hukitokeza mwangani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huvumbua mambo ya siri tokea gizani, Na hicho kilicho giza tupu huleta mwangani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anafunua vilindi vya giza, na kuleta katika mwangaza mambo yaliyokuwa katika giza.