Job 12:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakapapasapapasa gizani kusiko na mwanga; na kuwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; huwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga, Naye huwafanya kupepesuka kama vile mlevi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakapapasapapasa gizani kusiko na mwanga; na kuwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga, huwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; huwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga, Naye huwafanya kupepesuka kama mlevi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakapapasapapasa gizani kusiko na mwanga; na kuwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapapasepapase gizani pasipo na mwanga, huwaacha, wapepesuke kama mlevi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga, Naye huwafanya kupepesuka kama vile mlevi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakipapasapapasa katika giza kusikokuwa mwangaza; na kuwafanya wapepesuke kama walevi.