Job 12:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makao ya wanyanganyi yana amani; wenye kumchokoza Mungu wako salama, nguvu yao ni mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahema ya wanyang’anyi hayasumbuliwi, wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hema za wapokonyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makao ya wanyang'anyi yana amani; wenye kumchokoza Mungu wako salama, nguvu yao ni mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hema za wanyang'anyi hazisumbuliwi, wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama, wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hema za wanyang’anyi hazisumbuliwi, wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hema za wanyang'anyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makao ya wanyanganyi yana amani; wenye kumchokoza Mungu wako salama, nguvu yao ni mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mahema yao wapokonyi hutengemana, nao wamkasirishao Mungu hukaa na kutulia, ndio, Mungu anaowatia mengi mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hema za wapokonyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makao ya wanyanganyi yana amani. Wenye kumuchokoza Mungu wako salama; nguvu yao ni mungu wao.