Job 12:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Mwenyezi Mungu ndio uliofanya hili?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika hawa wote ni yupi asiyejua, Kwamba ni mkono wa Bwana uliofanya haya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa BWANA ndio uliofanya hili?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa bwana ndio uliofanya hili?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hawa wote ni yupi asiyejua, Kwamba ni mkono wa BWANA uliofanya haya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani asiyeyajua haya yote, ya kuwa mkono wa Mungu ndio ulioyatengeneza haya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika hawa wote ni yupi asiyejua, Kwamba ni mkono wa BWANA uliofanya haya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Yawe ametenda yale?