Job 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuelewa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuyaelewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Jicho langu limeyaona hayo yote pia, sikio langu limeyasikia na kuyatambua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuelewa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia! Hayo yote nimeyaona kwa macho yangu. Nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa.