Job 13:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu aniue akitaka, sina la kupoteza, hata hivyo nitautetea mwenendo wangu mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; hakika nitazitetea njia zangu mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, ataniua; sina tumaini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu aniue akitaka, sina la kupoteza, hata hivyo nitautetea mwenendo wangu mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; hakika nitazitetea njia zangu mbele zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; hakika nitazitetea njia zangu mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, ataniua; sina tumaini; Ila hata hivyo nitaithibitisha njia yangu mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu aniue akitaka, sina la kupoteza, hata hivyo nitautetea mwenendo wangu mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtaona, akiniua; hakuna kingine, nikingojeacho; ninataka tu kumwelezea njia zangu usoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, ataniua; sina tumaini; Ila hata hivyo nitaithibitisha njia yangu mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu aniue akitaka; sina la kupoteza. Hata hivyo nitautetea mwenendo wangu mbele yake.