Job 13:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa kwa kuwa nimekwisha tayarisha kesi yangu, ninajua nitahesabiwa kuwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni sasa, nimekwisha kulitengeneza neno langu, Najua ya kuwa ni mwenye haki mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni sasa, nimekwisha kulitengeneza neno langu, Najua ya kuwa mimi ni mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Nimelitengeneza shauri langu, najua, ya kuwa nitajitokeza kuwa asiyekosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni sasa, nimekwisha kulitengeneza neno langu, Najua ya kuwa ni mwenye haki mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno yangu nimeyatarisha jinsi inavyofaa. Ninajua kwamba sina kosa.