Job 13:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nani atakayeipinga hoja yangu? Niko tayari kunyamaza na kufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? Kama ndivyo, nitanyamaza na nife.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuko nani atakayeshindana nami? Maana sasa nitanyamaa kimya na kutoa roho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nani atakayeipinga hoja yangu? Niko tayari kunyamaza na kufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kuna ye yote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuko nani atakayeshindana nami? Maana sasa nitanyamaza kimya na kukata roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nani atakayeipinga hoja yangu? Niko tayari kunyamaza na kufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayebishana na mimi hapa? Kama yuko, ningenyamaza tu, nipate kuzimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuko nani atakayeshindana nami? Maana sasa nitanyamaa kimya na kutoa roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani atakayebishana nami? Niko tayari kunyamaza na kufa.