Job 13:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ondoa mkono wako uwe mbali nami, uache kuniogofya kwa vitisho vyako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uondoe mkono wako, usinilemee! Tena kizuie kitisho chako, kisinistushe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwanza uniondolee mukono wako unaonipiga, na usiniogopeshe kwa kitisho chako.