Job 13:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani umeandika maneno ya uchungu juu yangu, Na kunirithisha maovu ya ujana wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani umeandika maneno ya uchungu juu yangu, Na kunirithisha maovu ya ujana wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umetoa mashtaka makali dhidi yangu, na kunibebesha dhambi za ujana wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani unaniandikia machungu kama haya, tena unanilipisha manza, nilizozikora nilipokuwa nikingali mwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani umeandika maneno ya uchungu juu yangu, Na kunirithisha maovu ya ujana wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umetoa mashitaki makali juu yangu, na kunibebesha zambi za ujana wangu.