Job 13:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanifunga minyororo miguuni, wazichungulia hatua zangu zote, na nyayo zangu umeziwekea kikomo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. Unazichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyaaua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanifunga minyororo miguuni, wazichungulia hatua zangu zote, na nyayo zangu umeziwekea kikomo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeifunga miguu yangu kwenye pingu, na kuzichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. Unazichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyakagua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanifunga minyororo miguuni, wazichungulia hatua zangu zote, na nyayo zangu umeziwekea kikomo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miguu yangu unaitia mikatale, ukapaangalia pote, nipitiapo, napo, nyayo za miguu yangu zinapokanyaga, unachora alama zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyaaua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unanifunga minyororo kwenye miguu, unachunguza njia zangu zote, umeichapa miguu yangu.