Job 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ninyi hubuni maneno ya uongo, Ninyi nyote ni matabibu wasiofaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo, ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ninyi hubuni maneno ya uongo, Ninyi nyote ni matabibu wasiofaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi mnaupakaa uongo chokaa; nyinyi nyote ni waganga wasiofaa kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ninyi hutunga maneno yaliyo ya uwongo, nyote m waganga wasiofaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ninyi hubuni maneno ya uongo, Ninyi nyote ni matabibu wasiofaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi munapakaa uongo chokaa, ninyi wote ni waganga wasiofaa kitu.