Job 13:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtamwonesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mtamwonyesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mtamwonesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mtampendelea Mungu kwa kumgombea magomvi yake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mtamwonyesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munajaribu kumupendeza Mungu? Mutamutetea Mungu katika tribinali?