Job 14:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ndivyo anavyokufa mtu, wala haamki tena; hataamka tena wala kugutuka, hata hapo mbingu zitakapotoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke; hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena, wanadamu hawataamka au kuamshwa kutoka usingizi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ndivyo anavyokufa mtu, wala haamki tena; hataamka tena wala kugutuka, hata hapo mbingu zitakapotoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke, hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena; wanadamu hawataamka au kuamshwa kutoka kwenye usingizi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke; hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena, wanadamu hawataamka au kuamshwa kutoka kwenye usingizi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ndivyo anavyokufa mtu, wala haamki tena; hataamka tena wala kugutuka, hata hapo mbingu zitakapotoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo naye mtu akija kulala hainuki tena; mpaka mbingu zitakapotoweka, hawaamki, wala hawataamshwa usingizini mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ndivyo mutu anavyokufa, wala haamuki tena. Hataamuka tena wala kusisimuka, hata pale mbingu zitakapotoweka.