Job 14:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Laiti ungenificha kuzimu; ungenificha hadi ghadhabu yako ipoe; nao muda ulionipimia ukiisha ungenikumbuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Laiti kama ungenificha kaburini, na kunisitiri hadi hasira yako ipite! Laiti ungeniwekea wakati, na kisha ukanikumbuka!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti ungenificha kuzimuni, Ukanilinda kwa siri, hata ghadhabu zako zitakapopita, Na kuniandikia muda ulioamriwa, na kunikumbuka!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Laiti ungenificha kuzimu; ungenificha hadi ghadhabu yako ipoe; nao muda ulionipimia ukiisha ungenikumbuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Laiti kama ungenificha kaburini na kunisitiri hadi hasira yako ipite! Laiti ungeniwekea wakati na kisha ukanikumbuka!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Laiti kama ungenificha kaburini, na kunisitiri hadi hasira yako ipite! Laiti ungeniwekea wakati, na kisha ukanikumbuka!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti ungenificha kuzimuni, Ukanilinda kwa siri, hata ghadhabu zako zitakapopita, Na kuniandikia muda ulioamriwa, na kunikumbuka!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Laiti ungenificha kuzimu; ungenificha hadi ghadhabu yako ipoe; nao muda ulionipimia ukiisha ungenikumbuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Laiti ungenificha kuzimuni, ukanilindia huko, mpaka yatulie makiali yako! Muda ulionikatia utakapokwisha pita, ungenikumbuka hapo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti ungenificha kuzimuni, Ukanilinda kwa siri, hata ghadhabu zako zitakapopita, Na kuniandikia muda ulioamriwa, na kunikumbuka!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ungenificha katika kuzimu, ungenificha mpaka kasirani yako itulie, nawe ungenipimia muda kwa kunikumbuka tena.