Job 14:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtiririko wa maji hula miamba, mvua kubwa hufanya mmomonyoko wa ardhi. Ndivyo nawe unavyoharibu tumaini la binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji mengi huyapunguza mawe; Mafuriko yake huuchukua mchanga wa nchi; Nawe matumaini ya wanadamu wayaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtiririko wa maji hula miamba, mvua kubwa hufanya mmomonyoko wa ardhi. Ndivyo nawe unavyoharibu tumaini la binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama maji yamalizavyo mawe na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama maji yamalizavyo mawe, na mafuriko yachukuavyo udongo, ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji mengi huyapunguza mawe; Mafuriko yake huuchukua mchanga wa nchi; Nawe matumaini ya wanadamu wayaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtiririko wa maji hula miamba, mvua kubwa hufanya mmomonyoko wa ardhi. Ndivyo nawe unavyoharibu tumaini la binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji husaga mawe, yawe madogo, nayo mafuriko ya maji huuchukua mchanga wa nchi, hivyo nacho kingojeo cha mtu unakiangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji mengi huyapunguza mawe; Mafuriko yake huuchukua mchanga wa nchi; Nawe matumaini ya wanadamu wayaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mitiririko wa maji inakulakula mawe, mvua kubwa inaleta mumomonyoko wa udongo. Ndivyo nawe unavyoharibu tumaini la mwanadamu.