Job 14:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huchanua kama ua kisha hunyauka; huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huchanua kama ua kisha hunyauka, huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huchanua kama ua kisha hunyauka; huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huchanua kama ua, kisha hupukutika, hupita upesi kama kivuli, hakai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anachanua kama maua, kisha ananyauka. Anakimbia kama kivuli na kutoweka.