Job 14:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe wamshinda nguvu sikuzote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumpeleka aondoke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka, waibadilisha sura yake na kumwondoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe wamshinda nguvu siku zote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumtuma aende mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unamshinda siku zote pia, ajiendee, unaugeuza uso wake ukimtuma kujiendea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe wamshinda nguvu sikuzote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumpeleka aondoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unamwangusha mwanadamu, naye anatoweka milele; unaubadilisha uso wake na kumutupilia mbali.