Job 14:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wake wakiheshimika, yeye hana habari. Wakiporomoshwa, yeye haoni kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wazao wake wakidharauliwa, yeye haoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wake wakiheshimika, yeye hana habari. Wakiporomoshwa, yeye haoni kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wakidharauliwa, yeye haoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; kama wakidharauliwa, yeye haoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanawe hufikia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wake wakiheshimika, yeye hana habari. Wakiporomoshwa, yeye haoni kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawe kama wanapata macheo, havijui; au kama wananyenyekezwa, hayatambui mambo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wake wakiheshimika, yeye hana habari. Wakizarauliwa, yeye haoni kabisa.