Job 14:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kutoa kitu kisafi kutoka kitu kichafu? Hakuna anayeweza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani awezaye kutoa kitu kilicho safi kitoke katika kitu kichafu? Hapana awezaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kutoa kitu kisafi kutoka kitu kichafu? Hakuna anayeweza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka katika kitu najisi? Hakuna awezaye!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? Hakuna awezaye!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani awezaye kutoa kitu kilicho safi kitoke katika kitu kichafu? Hapana awezaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kutoa kitu kisafi kutoka kitu kichafu? Hakuna anayeweza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwao waliotoka kwa mwenye uchafu yuko atakataye? Hata mmoja tu hayuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani awezaye kutoa kitu kilicho safi kitoke katika kitu kichafu? Hapana awezaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kutoa kitu kisafi kutoka kitu kichafu? Hakuna anayeweza.