Job 15:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Utulizi wa Mungu ni mdogo sana kwako, Na hilo neno la upole si kitu kwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Utulivu wa Mungu ni mdogo sana kwako, Maliwazo ya Mungu ni madogo sana kwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Hivyo, Mungu anavyotuliza mioyo, unaviwazia kuwa vidogo? Nalo neno la upole si kitu kwako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Utulizi wa Mungu ni mdogo sana kwako, Na hilo neno la upole si kitu kwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Faraja Mungu anazokupa ni ndogo sana? Au neno lake la upole kwako si kitu?