Job 15:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona moyo unakusukuma kukasirika na kutoa macho makali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanang’aa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona moyo wako unakutaharakisha! Na macho yako, je! Kwani kung'ariza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona moyo unakusukuma kukasirika na kutoa macho makali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanang'aa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanang’aa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona moyo wako unakutaharakisha! Na macho yako, je! Kwa nini yaangae?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona moyo unakusukuma kukasirika na kutoa macho makali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona moyo wako unakuchukua, ukupeleke penginepo? Mbona macho yako unayang'arisha hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona moyo wako unakutaharakisha! Na macho yako, je! Kwani kung’ariza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona moyo unakusukuma kukasirika na kutoa macho makali,