Job 15:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata kumwasi Mungu na kusema maneno mabaya kama hayo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ukageuza roho yako iwe kinyume cha Mungu, Na kuyatoa maneno kama hayo kinywani mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata kumwasi Mungu na kusema maneno mabaya kama hayo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu na kumwaga maneno ya namna hiyo kutoka kinywani mwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ukageuza roho yako kinyume cha Mungu, Na kuyatoa maneno kama hayo kinywani mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata kumwasi Mungu na kusema maneno mabaya kama hayo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inakuwaje, ukiigeuza roho yako, ije kumpingia Mungu, ukamtolea maneno kama hayo kinywani mwako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ukageuza roho yako iwe kinyume cha Mungu, Na kuyatoa maneno kama hayo kinywani mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata kumwasi Mungu na kusema maneno mabaya kama yale?