Job 15:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti za vitisho zitampigia kelele masikioni, anapodhani amestawi mwangamizi atamvamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; katika kufanikiwa kwake, wanyang’anyi humshambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti za utisho zi masikioni mwake; Katika kufanikiwa kwake mtekaji nyara atamjia juu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti za vitisho zitampigia kelele masikioni, anapodhani amestawi mwangamizi atamvamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake, katika kufanikiwa kwake, wanyang'anyi humshambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; katika kufanikiwa kwake, wanyang’anyi humshambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti za utisho zi masikioni mwake; Katika kufanikiwa kwake mtekaji nyara atamjia juu yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti za vitisho zitampigia kelele masikioni, anapodhani amestawi mwangamizi atamvamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti za mastusho huingia masikioni mwake, akikaa na kutengemana, mwangamizaji humjia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti za utisho zi masikioni mwake; Katika kufanikiwa kwake mtekaji nyara atamjia juu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti za vitisho zitamupigia kelele katika masikio. Anapozani amestawi, mwangamizi atamushambulia.