Job 15:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hukata tamaa kuokoka gizani, amewekwa kwa ajili ya upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayategemei, ya kwamba atatoka gizani, hujiwazia kuwa amechaguliwa kuuawa na upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwovu hana tumaini la kutoka katika giza; mwisho wake ni kufa kwa upanga.