Job 15:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hutangatanga kutafuta chakula, akisema, ‘Kiko wapi?’ Ajua kwamba siku ya giza inamkaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hutanga-tanga ili apate chakula, akisema, Ki wapi? Ajua kwamba siku ya giza i tayari karibu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hutangatanga kutafuta chakula, akisema, ‘Kiko wapi?’ Ajua kwamba siku ya giza inamkaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutangatanga, akitafuta chakula, anajua kwamba siku ya giza iko karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hutangatanga ili apate chakula, akisema, Ki wapi? Ajua kwamba siku ya giza i tayari karibu naye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hutangatanga kutafuta chakula, akisema, ‘Kiko wapi?’ Ajua kwamba siku ya giza inamkaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutangatanga kujipatia chakula, lakini akione wapi? Anajua, ya kuwa kando yake imekwisha kuwekwa siku ya giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hutanga-tanga ili apate chakula, akisema, Ki wapi? Ajua kwamba siku ya giza i tayari karibu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatangatanga kutafuta chakula, akisema: “Kiko wapi?” Anajua kwamba siku ya giza inamukaribia.