Job 15:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taabu na uchungu, vyamtisha; vyamkabili kama jeshi la mfalme anayeshambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mateso na dhiki humtia hofu; Humshinda kama vile mfalme aliye tayari kwa vita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taabu na uchungu, vyamtisha; vyamkabili kama jeshi la mfalme anayeshambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu, humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mateso na dhiki humtia hofu; Humshinda kama vile mfalme aliye tayari kwa vita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Taabu na uchungu, vyamtisha; vyamkabili kama jeshi la mfalme anayeshambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mateso na masongano humtia woga, nayo humshinda kwa nguvu kama za mfalme aliyejiweka tayari kupiga vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mateso na dhiki humtia hofu; Humshinda kama vile mfalme aliye tayari kwa vita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Taabu na uchungu, vinamutisha; vinamushambulia kama jeshi la mufalme anayekuwa tayari kwa vita