Job 15:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nyumba ambazo hapana mtu azikaaye, Zilizokuwa tayari kuwa magofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ataishi katika miji ya magofu na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu ye yote, nyumba zinazokuwa vifusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye amekaa katika miji iliyo ukiwa, Katika nyumba ambazo hapana mtu azikaaye, Zilizokuwa tayari kuwa magofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika miji iliyotakiwa kuwa mahame ndimo, alimotua, akakaa katika nyumba, ambazo watu hawazikai, ndizo zinazongoja tu kuwa machungu ya mawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nyumba ambazo hapana mtu azikaaye, Zilizokuwa tayari kuwa magofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ameishi katika miji iliyoachwa wazi, katika nyumba zisizokaliwa na mutu, nyumba zilizotakiwa zikuwe lundo la uharibifu.