Job 15:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali yake haitakuwa nyingi juu ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatakuwa tajiri, wala mali zake hazitadumu, Wala maongeo yao hayatainama nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatatajirika tena nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatakuwa tajiri, wala mali zake hazitadumu, Wala mavuno yao hayatainama chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo kamwe hatakuwa tajiri; wala utajiri wake hautadumu duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo hatapata mali nyingi, nazo atakazozipata hazitakaa, wala mazao yake hayatafurikia katika nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatakuwa tajiri, wala mali zake hazitadumu, Wala maongeo yao hayatainama nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yule hatakuwa tajiri hata kidogo; wala utajiri wake hautadumu katika dunia.