Job 15:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatalikwepa giza la kifo. Ndimi za moto zitakausha chipukizi zake, maua yake yatapeperushwa na upepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hataondoka gizani; Ndimi za moto zitayakausha matawi yake, Naye ataondoka kwa pumzi za kinywa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatalikwepa giza la kifo. Ndimi za moto zitakausha chipukizi zake, maua yake yatapeperushwa na upepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hataondoka gizani; Ndimi za moto zitayakausha matawi yake, Naye ataondoka kwa pumzi za kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatalikwepa giza la kifo. Ndimi za moto zitakausha chipukizi zake, maua yake yatapeperushwa na upepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatapata kuondoka mle gizani, nayo machipukizi yake hukaushwa na ndimi za moto, naye atatoweshwa kwa nguvu za pumzi za kinywa chake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hataondoka gizani; Ndimi za moto zitayakausha matawi yake, Naye ataondoka kwa pumzi za kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hataponyoka giza la kifo. Ndimi za moto zitakausha vichipukizi vyake, maua yake yatapeperushwa na upepo.